Thursday, December 26, 2013

HAYA NDIO YANAFANYIKA KWENYE CLUB ZA HUKO KENYA,TAZAMA HIZI PICHA 11 WANAWAKE WALIVYOWATUPU JUKWAANI!!

Mambo  yanayofanywa  na  akina  dada  ndani ya  kumbi  za  starehe  ni  aibu  tupu….

Kama  ulikuwa  hujui, ukweli  ni  kwamba  asilimia 80  ya  warembo  wanaoingia  kujirusha  club  na  kwingineko  nyakati za usiku huwa  hawavai  nguo  za ndani  eti  kwa  kisingizio cha kuchubuka wakati  wakicheza….

Kama  bado  huamini, basi tazama  picha  hapo  chini….IMG_3668-6461-600-600-80

 IMG_3677-6463-600-600-80  IMG_3654-6459-600-600-80 IMG_3627-6457-600-600-80 IMG_3623-6456-600-600-80 IMG_3616-6455-600-600-80 IMG_3643-6453-600-600-80 IMG_3642-6452-600-600-80 IMG_3641-6451-600-600-80 
IMG_3644-6450-600-600-80 

Blogger Tricks

Sunday, December 22, 2013

AFANYIWA UKATILI WAKUTISHa KISA WIVU WA MAPENZI..ANGALIA PICHA ZAKE ZA KUTISHA 10

Mwenyezi mungu alieumba aridhi na mbingu alimtofautisha mwanadamu na wanyama mnyama amepewa akili tuu bali mwanadamu amepewa akili na utashi .Ila kwa hali ya sasa yale wanayofanya wanadamu ni kama wanatumia akili tu bila utashi unyama matukio ya ajabu kimekuwa kitu cha kawaida sana kwa dunia ya leo
Matukio ambayo zamani tulikuwa tukiyaona katika filamu ila kwa sasa yanatokea katika jamii tulizopo inasikitisha na inahuzunisha sana kuona mwanadamu mwenzio anapata maumivu yaliyosababishwa na mwanadamu mwenzie
Hivi karibuni hapa jiji mwanza mkazi mmoja wa Igoma Aliefahamika kwa jina moja la Consolata amepigwa na mmewe na kung’atwa sikio na mtu anaedaiwa kuwa ni hawara wa mumewe bi consolata amesema alikuwa akigombana na mumewe ndipo hawara yake huyu alipokuja na kusema ngoja tukuonyeshe maana hutujui ndipo alipong’atwa sikio na kuondolewa sikio zima

Mara baada ya kufanyiwa ukatili huo alienda kulipoti katika kituo cha polisi lakini kwa madai yake ni kwamba watuhumiwa waliachiwa huru kwa kuwa walikuwa wakijuana na baadhi ya askari waliokuwepo kituoni .Ndipo bi consolata alipochukua hatua za kutafuta wasamalia wema kama waandishi ili waweze kumsaidia aweze kupatiwa matibabu kwani ni mgeni jiji mwanza toka kigoma na alikuja mwanza kwa ajili ya kumsalimu mumew.

Baada ya kuzungumza na waandishi alipelekwa kwenye taasisi ya kivulini ambao mpaka sasa wanampatia huduma ya matibabu ukatili huu kiukweli ni aibu kubwa kwa taifa letu












PICHA YA KWANZA YA SABABU ILIYOFANYA MAWAZIRI 4 KUONDOLEWA JUZI BUNGENI DODOMA..!! NI UNYAMA WA KUTISHA WALIOFANYIWA WATANZANIA..



Hii ndio moja ya unyama uliofanyika kwenye Operation Tokomeza Ujangili iliyosimamiwa na washiriki toka Wizara 4 za mawaziri waliondolewa juzi bungeni. 


Saturday, December 21, 2013

HAIJAWAHI TOKEA: KIJANA ALIYEHISIWA KUWA NA UMRI WA MIAKA 17 ATOA KALI YA KUNYONYANA MIDOMO NA MAMA YAKE MZAZI LAIVU...! SIJUI UTAMADUNI WA WAPI HUU?.. CHEKI PICHA HIZI

SAWA anamkiss mama yake mzazi lakini hapa hatuelewielewi kinachoendelea? Busu hilo linatupa maswali mengi sana kichwani...!
Alafu cheki alichokiandika hapa chini, Mmh...?


Bofya hapo juu kuona utumbo wa huyo kijana akimbusu "DENDA" mama yake mzazi na kutupia instagram...hii ni noma

MUME ALIYEOA WAKE 12 AKIRI KUKIMBIA TENDO LA NDOA KWA WAKE ZAKE JUU YA KUCHOKA...SOMA ZAIDI HAPA

BAADA ya kujitwalia wake 12 na kuzaa nao zaidi ya watoto 50, wengine akidai kutowafahamu kwa majina, mzee mmoja wa hapa, amedai kwa sasa hana tena mpango wa kuoa, akisema aliooa wanatosha, kwani nao kuna kipindi wanamchosha, hali inayomlazimu wakati mwingine kuwagomea kukutana kama mume na mke.

Katika mahojiano na gazeti hili, mzee huyo ambaye ni mfugaji, Nzije Shanga Komite (58) alisema sasa hana tena mpango wa kuoa kwani umri umekwenda na hawezi kuhimili mikikimikiki ya ndoa mpya.
“Nina wake 12 na watoto wengi tu hata siwakumbuki majina na wengine wamepata wenzao wanajitegemea,” anasema Komite ambaye baada ya kupatiwa elimu ya ufugaji wa kisasa, alivuna sehemu ya mifugo yake na baada ya kuiuza, amefanikiwa kujenga nyumba ya kulala wageni ambayo pia ina sehemu ya biashara ya baa, amenunua gari la kutembelea, trekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa.
Aidha, licha ya kuanza kufurahia maisha ya kisasa huku akibakiwa na ng’ombe zaidi ya 1,000, anasema bado ana safari ndefu ya kutaka kuyafikia malengo yake, akisema kwa sasa anasaka pesa kwa udi na uvumba aweze kujenga nyumba ya kuishi yeye na familia yake, badala ya kung’ang’ania kwenye nyumba ya tembe.
Kwa habari zaidi usikose kusoma hapa kwenye tovuti.

Monday, December 02, 2013

PICHA AIBU..!WALEWA, WAFANYA MAPENZI NDANI YA GARI NA KUANGUSHA MBONJI YA NGUVU UCHI..!



ICHA AMBAYO HAIKUZIBWA IPO HAPO CHINI  ILA NI KWA WENYE UMRI WA
MIAKA (18+) TU

                         
       KUITAZAMA (((BOFYA HAPA)))

AIBU SONGEA MJINI: DADA MMOJA APONZWA NA HUDUMA YA wattsAp KATIKA SIMU YAKE NA KUJIKUTA ANAPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUWARUSHIA WATU HOVYO.

DADA ambaye jina lake limehifadhiwa  ni mkaazi wa songea mjini maeneo ya mfaranyaki jirani na ukumbi wa disco wa buhemba mkoani humo.

 Chanzo chetu cha habari kilifunguka kwamba hana makaazi maalum ila inasemekana amefungua mgahawa wake sehemu za machimboni mpakani mwa Tanzania na
Msumbiji,



Picha zimepigwa wiki chache zilizopita, Chanzo cha habari kiliendelea kueleza kwamba dada huyualipigwa picha hizi kwa hiyari yake na kumtumia mtu ambaye pia jina lake halikutajwa ila ilisemekana ni mfanya biashara.



JAMANI DADA ZETU HEBU JARIBUNI KUITUMIA MITANDAO VIZURI KATIKA SIMU ZENU SIO KILA KILICHOWEKWA KWENYE SIMU NI CHA KUTUMIA., TUMIA KWA ISHU MAALIMU.



UNAONA SASA DADA UNAVYODHALILIKA?
NI WAKATIWENU KUJIFUNZA KUPITIA HUYU ALIOKOSEA HAMJACHELEWA.
ONYO! KUTAZAMA PICHA HIZI HAPA CHINI LAZIMA UWE NA UMRI WA MIAKA (18+)
HAZIJAZIBWA
 

                                     <<BOFYA HAPA PICHA 1>> 
                          <<<BONYA HAPA KUONA 2>>>   

Friday, November 08, 2013

HII NDIO VIDEO ILIYOMPONZA SHILOLE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII...!! BOFYA HAPA KUITAZAMA..


Mlinzi mkuu wa Rais Paul Kagame wa Rwanda atekwa kimafia soma hapa nkujize.....!!!

ALIYEKUWA Mlinzi mkuu (bodyguard) wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, Luteni Joel Mutabazi, ametekwa na kikosi cha Jeshi la Uganda na kukabidhiwa kwa Serikali ya Rwanda.
 Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa Luteni Mutabazi, alikuwa akiishi nchini Uganda kwa hati maalumu ya ukimbizi ya Umoja wa Mataifa, baada ya kutoroka nchini Rwanda pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo, Faustin Kayumba Nyamwasa.

Luteni Mutabazi alitorokea nchini Uganda Oktoba 2011, baada ya kutoroka jela yenye ulinzi mkali wa kijeshi ya Kami nje kidogo mwa mji wa Kigali akituhumiwa kwa kuhusishwa na kutoroka kwa mkuu huyo wa majeshi na kukimbilia Afrika Kusini. Alikuwa mlinzi mkuu wa Rais Kagame mpaka mwaka 2010, alipotoroka na kukimbilia Uganda.

Mlinzi huyo pia anashutumiwa na Serikali ya Rwanda kwa kutoa siri kwa Kikosi Maalumu cha Umoja wa Mataifa chini ya Majeshi ya Umoja ya Kulinda Amani nchini Kongo, (MONUSCO) na kuwezesha kuchakazwa na kushindwa kwa kikosi cha waasi wa M23.

Kutokana na tukio hilo, hivi sasa Serikali ya Rais Yoweri Museveni, imelazimika kumsimamisha kazi Mkuu wa Intelijensia wa Jeshi la Polisi, Joel Aguma, ambaye alihusika kumteka na kumkabidhi Luteni Mutabazi kwa Serikali ya Rwanda.

Hatua hiyo ya Aguma ilitafsiriwa kuwa ni mkakati wa kutii amri ya Serikali ya Rwanda, ambayo ilitoa hati ya kimataifa ya kukamatwa kwa mlinzi huyo.

Kutokana na hali hiyo, Serikali ya Rwanda imekiri kumkamata Luteni Mutabazi na kuzuiliwa katika jela maalumu ya kijeshi ya nchi hiyo mjini Kigali.

Msemaji wa Polisi wa Rwanda, Damas Gatare alisema kuwa huo ni mpango endelevu wa Serikali za Rwanda na Uganda wa kukabiliana na maasi na majasusi kutoka sehemu mbalimbali duniani na kuwa sheria itachukua mkondo wake.

Serikali ya Rwanda imesema kuwa Luteni Mutabazi, atashitakiwa kwa kosa la ujasusi na uhaini na hakuna mtu yeyote nchini humo ambaye atafanikiwa kuukimbia mkono wa sheria ambapo jeshi la nchi hiyo linaendelea kuwasaka watu hao.

Hata hivyo, Mkuu wa Polisi nchini Uganda aliyesimamishwa kazi anadaiwa kuhusika katika utekaji huo wa kumrudisha Rwanda, Luteni Mutabazi, Oktoba mwaka huu, baada ya kuhudhuria kozi ya mwaka mmoja ya makamanda iliyofanyika katika kituo cha Polisi cha Rwanda, ambapo aliibuka mwanafunzi bora katika kozi hiyo.

Mlinzi huyo alitekwa Agosti 20, mwaka huu, saa 11 jioni kutoka hotelini kwake alipokuwa katika harakati za kutaka kutumia mtandao wa Skype, ambapo alikuwa anataka kutoka chumbani kwake na kwenda sebuleni ili aweze kupata wireless intaneti. 

Akiwa katika harakati hizo, ghafla walivamia makomandoo watano wa Jeshi la Rwanda wakiwa na bunduki za AK 47.

Tukio la kuvamia makomandoo hao lilizua taharuki ambapo Luteni Mutabazi, aliweza kupambana nao hali iliyowafanya makomandoo hao kushindwa kumtia nguvuni.

Makomandoo hao wa Rwanda walipoona wameshindwa kwa kupata kipigo, waliweza kutoa ishara ya kuomba msaada kwa wenzao wa nje waliokuwa katika gari.

Baada ya kuongezeka kwa nguvu kwa makomandoo hao, walifanikiwa kumvamia na kumfunika kwa nguvu kwa kitambaa kilichokuwa kimepakwa dawa hali iliyosababisha kupoteza fahamu kwa mlinzi huyo wa zamani wa Rais Kagame.

Habari za kiitelijensia kutoka nchini Uganda zinasema kuwa Luteni Mutabazi alichukuliwa kwa gari maalumu lenye namba za usajili UAK 551B na kukimbizwa hadi mpakani mwa nchi ya Rwanda ambapo alikabidhiwa kwa majeshi la Serikali ya nchi hiyo.
-Mtanzania

HOW TO LOOK SEXY AT HOME ON HALLOWEEN DAY 'BY:FLORA LYIMO ' ALBUM (1) HOTTEST EVER!!


MBUTA NANGA!!!HAHHAHHAAAA' FLORA LYIMO NA VIMIGUU VYAKE WACHACHE WENU MLADAI SIYO MIZURI 'NDIYO HIYOOO TENA MNAVYOZIDI KUTUKANA NDIPO NITAKAPO ZIDI KUWAONGEZEA MAUTAMUUU'' YANI NACHEKAAAAA'UWIII JAMANI NARAHAAA MIEEE''SIYO MCHEZO JAMANI ''MAISHA NI KUYAFURAHI YAKIWA YAMENAWIRI KULIKO MCHICHA WA PAROKEANI ''MAANA NI LAZIMA IPO SIKU UTASINYAA ''NA USIJEJIKUTA UKIJUTIA'' ENJOY YOUR LIFE PEOPLE''


FLORA LYIMO >SEXY NI KITU CHA KUJIFANYIA NA UKIFANYIWA NA MPENZI WAKO JUA NI TOP UP ,MAANA MWANAMME WAKO HUYO ANAPOKUNUNULIA  NGUO 'HUWA ANAKUTEGEMEA UMVALIE NA SIYO UENDE KUWAVALIA WANAUME WENGINE HUKO NNJE AU KWENYE  MA'PARTY UTAKAYO KWENDA'' SASA JIREKEBISHENI NA KUJIWEKA KI'SEXY LOOK PIA WAPENZI WENU WAAMBIENI KWAMBA MWATAKA NGUO ZA NDANI ZAIDI 'SEXY CHUPI KWA SANA 'KWANI HIZO HUWEZI KUTOKA NAZO NA KUZIVAA HIVI BILA KITU KINGINE CHOCHOTE'' MIMI KAMA FLORA LYIMO NINGEPENDELEA MWANAMME WANGU MY AFRICAN KING MTARAJIWA AWE ANANINUNULIA NGUO ZA NDANI ZAIDI ''MAANA HIZO NITAKUWA NA MVALIA KAMA HAPA KWA AJILI YETU SISI WAWILI'YANI TUNAKUWA NA DUNIA YETU 'HATUSIKII WALA HATUAMBIWI'' TUENDELEE''NIWANGAPI MLIJIVALIA SEXY VIJIMAVAAZI FOR HALLOWEEN 2013 ? SEND ME YOUR PHOTOS AT flo1974@btinternet.com  AU TUMA FACEBOOK PAGE' NOW ENJOY NA USIKOSE KURUDI HAPA FOR MAPOCHOPOCHO ZAIDI''
FOLLOW THIS BLOG FOR MORE PICS OF HOW TO LOOK SEX AT HOME:

 FLORA LYMO BLOG

FUMANIZI!!! AKUTWA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI NA MFANYAKAZI WAKE WA NDANI.....TAZAMA PICHA HAPA!!!

 A man was caught by his legally married wife red handed with his mistress in the car making hot love,according to report she has being hearing stories about her husband and a strange lady driving car around town,they have being seen in motel and bars,on this faithful day the wife traced them down to his car and what she saw was so'' heartbroken'',,,,her husband was busy with another woman in the car.

SEE MORE PHOTOS BELOW....




TAZAMA PICHA 3 ZA MSANII BEYONCE AKIJIACHIA KIHASARA MPK UTAMU KUBAKI NJE NJE UKICHUNGULIA....!!!

AKATWA NYETI KWENYE MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI...

MBALI na mtu mmoja kufariki dunia na wengine 24 kujeruhiwa na kulazwa kwenye Hospitali ya Bwagala, Turiani mkoani hapa, mwanaume mmoja amekatwa nyeti zake katika mapigano ya wakulima na wafugaji Jumanne iliyopita.
Mapigano hayo yaliyoshuhudiwa na mwandishi wetu yalipoteza amani iliyokuwa  kwenye Kijiji cha Dihombo Kata ya Hembeti Wilaya ya Mvomero.
Mashuhuda kadhaa walimwambia mwandishi wetu kwamba, mtu aliyekatwa  nyeti alikutana na wakulima hao wenye hasira waliokuwa wakimvamia mgeni yeyote waliyemuona  mbele yao.
“Wakulima walikuwa na silaha za jadi kama vile mapanga, mishale ya sumu na marungu, walimkuta mtu huyo aliyekuwa akipita na kumvamia kisha kumpiga na alipoanguka chini mkulima mmoja alimkata nyeti zake,” alisema shuhuda aliyejitambilisha kwa jina la Kibwana.
Mtu aliyekatwa nyeti (angalia picha ukurasa wa mbele) hakufahamika jina lake mara moja, lakini baadhi ya watu walioshuhudia tukio hilo walisema kwamba alikimbizwa hospitali ili kunusuru maisha yake.
Hata hivyo, baadhi ya wakulima nao waliumizwa vibaya katika tukio hilo lililosababisha kifo cha mfugaji Yusuf Mdutu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile amethibitisha kutokea kwa mapigano hayo huku akisema kuwa msako mkali unaendelea kuwakamata wahusika.

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter