Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara
kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around
ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa
mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa
amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea
kuperform ghafla akaanza kusaula taratibTAZAMA PICHA HAPA CHINI
<<PICHA YA KWANZA>>
<<PICHA YA PILI>>
<<PICHA YA TATU>>
<<PICHA YA NNE>>
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

