Rapper Future na muimbaji Ciara ni wapenzi ambao mapenzi yao ni motomoto hivi sasa na
wamefungua ukurasa mpya wa mapenzi yao. Baada ya siku chache ambapo wapenzi wa burudani kushuhudia Kanye West akimvalisha pete ya uchumba mama wa mtoto wake Kim Kardashian. Future na Ciara nao wamepitia hatua hiyohiyo.Baada ya kutoka kwa habari kwamba wawili hawa ni wachumba baada ya Future kumvalisha pete Ciara,bila kusita Cici alijitokeza na pete hiyo in public kwa mara ya kwanza kwenye birthday party yake akitimiza miaka 28. Pete hiyo ya almasi 15 carant ilionekana kwenye kidole cha Ciara akiwa ameshikilia chupa ya Moet kwenye bday part hiyo.
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.