Wednesday, October 30, 2013

INASIKITISHA: MTOTO WA MIAKA MINNE AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO CHA JIRANI MKOANI MBEYA....

Mwili wa Marehemu Joshua Isaac, 4,  mara baada ya kutolewa kwenye shimo la choo cha jirani alikotumbukia  na kufikwa umati.
 Habari zinasema kwamba juzi marehemu alikuwa anacheza na wenzake kisha akatoweka. 
Wadau mbali mbali wakishuhudia jana hilo

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “INASIKITISHA: MTOTO WA MIAKA MINNE AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO CHA JIRANI MKOANI MBEYA....”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter