Sunday, October 27, 2013

MASKINI MWANAJESHI MWINGINE WA TANZANIA AUWAWA NA WANAJESHI WA M23

 Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania Mwanajeshi kwa jina RAJABU AHMAD MLIMA katika Vita vya waasi huko Congo ..Alikuwa katika Jitihada za kuwalinda wakazi wa mji wa Kiwanga nchini humo pamoja na wanajeshi wengine wa Umoja wa Mataifa ....Mungu Ailaze mahali pema Peponi Roho yake ....Amen

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “ MASKINI MWANAJESHI MWINGINE WA TANZANIA AUWAWA NA WANAJESHI WA M23 ”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter