Monday, October 28, 2013

Rihanna apiga picha za uchi kwa ajili ya jarida la GQ la uingereza

 
KAMA kawaida yake, Rihanna amepiga picha kwa ajili ya jarida la GQ la Uingereza akiwa nusu utupu tangu juu hadi chini. 
 
Mwimbaji huyo maarufu duniani amelipamba jalada la mbele la jarida hilo toleo la Novemba akiwa hajavaa chochote cha maana tangu juu ukiachilia mbali kichwa chake ambacho kimezingirwa na kufunikwa na majoka.

Picha hizo zimepigwa na Mariano Vivanco kwa kusimamiwa na Damien Hirst, zikitoa taswira ya simulizi ya Kigiriki kuhusu Medusa (mlinzi wa kike) ambayo imetumika katika kuadhimisha mwaka wa 25 wa jarida hilo. 
 
Toleo hilo litakuwa mitaani tarehe 31 Oktoba mwaka huu.

Bofya  hapi  chini  kuziona  picha  zake


BOFYA HAPA KUONA PICHA HIZO....!! 

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “Rihanna apiga picha za uchi kwa ajili ya jarida la GQ la uingereza”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter