Monday, October 28, 2013

TB JOSHUA ATABIRI TENA, RAIS KUTOKA AFRICA MASHARIKI WA NCHI ILIYO KARIBU NA KENYA ATATEKWA NA CLUB KULIPULIWA.

Yule Mchungaji Maarufu kutoka Nigeria Ambae hutabiri mambo mbalimbali na kweli yakatokea  TB Joshua leo ametoa utabiri mpya ambao unahusisha Africa Mashariki ...ameonyeshwa rais mmoja Africa Mashariki atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani? 

Misa ya jana jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.


Jamani tuombe sana isiwe Tanzania

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “TB JOSHUA ATABIRI TENA, RAIS KUTOKA AFRICA MASHARIKI WA NCHI ILIYO KARIBU NA KENYA ATATEKWA NA CLUB KULIPULIWA. ”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter