Saturday, October 19, 2013

WEMA"NINYI MNAZANI NAMWAZA DIAMOND KILA SAA, NO MIMI NAWAZA JINSI YA KU MAKE MORE MONEY"" TAZAMA PICHA KWA MSISITIZO ZAIDI HAPA

  
Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. 

Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo picha?

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “WEMA"NINYI MNAZANI NAMWAZA DIAMOND KILA SAA, NO MIMI NAWAZA JINSI YA KU MAKE MORE MONEY"" TAZAMA PICHA KWA MSISITIZO ZAIDI HAPA”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter