Monday, October 21, 2013

ZITTO AANZA KAZI ILIYOMPELEKA USWIS..ATUMA PICHA HII KAMA USHAHIDI

Habari zilizoenea leo ni kwamba Zitto Amekwenda Uswiss kufuatilia mabilion ya yaliyotunzwa huko na mafisadi ...Jioni hii amepost kwenye facebook yake picha hiyo hapo juu akiwa na caption hii hapa chini:

"Siku ya kwanza ya kazi hapa Uswiss, mikutano mizuri sana na Waziri wa Fedha na timu yake, Shirika la Maendeleo #SDC na asasi ya #AllianceSud " Zitto

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “ZITTO AANZA KAZI ILIYOMPELEKA USWIS..ATUMA PICHA HII KAMA USHAHIDI”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter