Makomandoo
wa VHM wakiwa katika Operation ya kusambaratisha kazi za shetani
afajiri baada ya maombi mazito mama aliyekuwa na tumbo kubwa akidhaniwa
ni mjamzito kumbe hakuwa na mimba yoyote. Baada ya maombi mazito chini
ya usimamizi wa makomandoo ya Yesu kupitia Voice of Hope Ministry
alijikuta akitapika meno ya mbwa, nywele na vitu visivyojulikana. Siku
chache baadaye kutokana na nguvu ya maombi yaliyokuwa yakifanywa na makomandoo ya Yesu hapo kijijini saa 8.45alfajiri mchawi aliyekuwa akiruka angani kuelekea Bagamoyo alivutwa na nguvu za Bwana na kujikuta akidondoka chini kutoka angani na hakuweza kufanya kitu chochote tena.
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

