kutokana na mdau
wetu alieshuhudua tukio hilo,alisema dada huyo aliyekuwa akijihudhurisha
kanisani hapo mara kwa mara kwa mchungaji huyo na ilifikia kipindi
ambacho hadi mume wake aliweza kumlalamikia mke wake huyo kwa kuhudhuria
katika kanisa hilo kupita kiasi na yeye alisema ninaenda mara kwa mara
kumuomba Mungu kwa ajiri ya kupata mtoto kwani familia hiyo wanatatizo
na mtoto na alimwambia mumewe mchungaji huyo anamsaidia ili wapate
mtoto.
Mumewe alianza
kumuhisi vibaya mkewe kwani alianza na kuja usiku wa manane akielezakuwa
anatoka kwa mchungaji huyo na kuanza kumfuatilia hadi pale alipoelekeza
mkewe na mchungaji huyo kwenye kisima cha upako nakukuta
kilichomshangaza mwanaume huyo kama unavyoona hapo chini
"nimeona uponyaji alioutoa mchungaji huyo kwani ni wa ajabu sana "alisema mwanaume huyo
je? kama utamkuta mkeo katika pozi hilo hapo juu hatua ya kwanza kuchukua itakuwa ni nini?
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.