Sunday, November 03, 2013

UMESHAWAHI JIULIZA KWANINI WANAWAKE WENGI WAKIPIGA PICHA WANAGEUZA MAKALIO YAO...?? SOMA HAPA NIKUJUZE...






Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...
Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo
Makalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi..

Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.
Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.
A Confident woman is an Asset, An Ass-oriented woman is an asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila wakipiga picha wanaposti Facebook huku wameguza Makalio yao??They are Cheap Girls hunting for CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “UMESHAWAHI JIULIZA KWANINI WANAWAKE WENGI WAKIPIGA PICHA WANAGEUZA MAKALIO YAO...?? SOMA HAPA NIKUJUZE...”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter