
Baada ya kuenea habari kwamba Diamond Platnumz amemshirikisha Davido kwenye remix ya wimbo wake, My Number na tayari jana wamefanya video yake, wakali hao wawili waliwaonjesha wakazi wa Dar es Salaam kwenye siku ya pili ya Fiesta jana jioni katika viwanja vya Leaders.
Tazama video hapa.
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.