Thursday, October 24, 2013

DANCER WA ''BOB JUNIOUR'' ANASWA LIVE CHOBINGO NA JIMAA WAKIFANYA YAO...!! TAZAMA PICHA HAPA..




DANCER wa Bob Juniour anaetambulika kwa jina maarufu Nurdin A.k.a dogo T, Akutwa live akijiandaa kufanya mambo ya wakubwa na dada huyo pichani jina lake limehifadhiwa...!!! Dogo alishangaa ghafla mwanga wa Camera kitu ambacho hakukitegemea na hapo ndipo zoezi lao lilipoishia, Tukio hili lilitokea hivi karibuni katika
Gloserry flani jijini Dar Es Salaam. Kitendo hicho kimemsababishia adhabu kali ya kutoshiriki baadhi ya Show zitakazofanywa na kundi hilo lililochukua ushindi katika mpambano wa Dance mia mia mwaka huu na kusani mkataba kwa Mr Chocolate (Bob Juniour) Rais wa Masharobaro
.

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “DANCER WA ''BOB JUNIOUR'' ANASWA LIVE CHOBINGO NA JIMAA WAKIFANYA YAO...!! TAZAMA PICHA HAPA..”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter