Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Asangye
Bangu (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Phillipo Mulugo baada ya kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Huduma za Jamii, kilichofanyika katika Ofisi za Bunge jijini Dar es
Salaam jana. Picha na Salim Shao
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.