Sunday, October 20, 2013

Hii ni Video ya ripoti ya Mauaji ya Westgate iliyoua watu 69 ikiletwa kwako na Mpekuzi Mohammed All wa Jicho Pevu-KTN..,Bofya hapa ujionee


Zimekuwa ni siku nyingi za kubashiri  kuhusu kilichojiri wakati wakenya walipotekwa  nyara na magaidi kwa siku nne mtawalia.

Wakenya zaidi ya sitini walipoteza maisha yao katika jumba la Westgate lakini hadi sasa Wakenya hawajajua ukweli kuhusu yaliyojiri katika jumba la Westgate.

  - Je ni kweli kuna waliokuwa wametekwa nyara na magaidi na kuzuiliwa katika jumba hilo?
  - Je ni kweli kuna magaidi waliouawa na wanajeshi?

Meza ya upekuzi ya Jicho Pevu na Inside Story usiku na mchana wamekuwa wakidurusu kila ukurasa na kufanya mahojiano 
na kupitia hatua kwa hatua video za CCTV kutoka jumba la Westgate na sasa wako tayari kukusimulia kilichojiri.

Ungana na mwanahabari mpekuzi Mohammed Ali kwenye video ya KTN iliyopachikwa hapo chini...

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “Hii ni Video ya ripoti ya Mauaji ya Westgate iliyoua watu 69 ikiletwa kwako na Mpekuzi Mohammed All wa Jicho Pevu-KTN..,Bofya hapa ujionee”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter