Rihanna
ameamua kutumia Ziara yake ya kimuziki Vizuri sana kwa kutembelea
vivutio katika nchi anazotemebela katika ziara yake hiyo ambaypo ni ya
kikazi lakini akiwa ameongozana na Familia yake akiwemo Mama yake Mzazi,
Akiwa
Nchini Afrika ya Kusini alitumia wakati huo kwa kutembelea mbuga za
wanyama na viumbe wa majini, kwa mara hii akiwa katika muendelezo wa
Ziara yake hiyo katika nchi za UAE huko Abu Dhabi ameonekana akiwa katika msikiti mkubwa ikiwa ni ishara ya kutembelea na kujionea imani ya dini ya kiislam na tamaduni za huko huku akionekana katika mapozz tofauti tofauto ndani ya msikiti huo akiwa amevalia mavazi meusi na hijabuUnaweza kusema Rihanna kawa muislam, Rihanna Ameshare picha zake kupitia mtandao wa Instagram akiwa ndani ya msikiti
RIHANNA DIAMONDS WORLD TOUR- Abu Dhabi Concert
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.