mara ya mwisho kabisa kuwasiliana ile kishkaji ni 2011 alipooa.since then nilimtoa kwenye kichwa changu kabisaaa,,no calls ,no sms ..no mail to me ni kama hata hayupo duniani.
honestly mimi sio mtu wa kuamini ndoto saana ..mimi nikiota nimeota!
nina kama wiki mbili sasa kila siku namuota huyu mbuzi ..kila siku namuona kwenye ndoto zangu.basio nikamwambia dada mmoja wa maombi .akaniambia ina maana kwamba nitapata au kama nina mpenzi mwingine yatanikuta yaleyale ya huyo jamaa wa mwanzoni.
sasa nikikumbuka yule jamaa...mistreatment..dissapointment na kibuti mmmh!
sijui ni kweli sijui lakini ...ila nimemuachia tu Mungu lakini...nawaogopa wanaume kama hiv sasa!
Nini Maana ya hizi Ndoto..?
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.