Thursday, October 24, 2013

NANDO ACHAGULIWA KURUDI TENA MJENGONI KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER MWAKANI.....


Ammy Nando ambaye alituwakilisha mwaka huu katika shindano la Big Brother Africa, The Chase amepata nafasi ya kutuwakilisha tena katika shindano hilo hapo mwakani 2014. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika katika Ofisi za Multi Choice Tanzania zimethibitisha hilo. Nando alikuwa disqualified na kutolewa katika shindano hilo mwaka huu baada ya kugombana na kutishia kumchoma kisu mshiriki kutoka Ghana anayejulikana kama Elikem. Sasa sijui jamaa kajirekebisha na hataleta fujo tena???? Habari za uhakika zinathibitisha kuwa Nando amekubali ofa hiyo na yuko tayari kwenda kuipeperusha bendera ya Tanzania tena......

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “NANDO ACHAGULIWA KURUDI TENA MJENGONI KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER MWAKANI.....”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter