Tuesday, October 22, 2013

PICHA!!, Diamond Kaomba Mashabiki Watume Picha Wakiwa Kwenye Pozi Kama Lake, TAZAMA VITUKO Hapa.

Kama unafatilia habari za mastaa wa Marekani utafahamu kuwa hii issue alishawahi 

kufanya rapper Nicki Minaj wa Young Money, Aliomba mashabiki watume picha wakiwa wamevalia mavazi kama yake na pozi zaki Nicki Minaj, Well Bongo Super Star Diamond amefanya yake kwenye instagram.
Picha zaidi ziko hapa.




SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “PICHA!!, Diamond Kaomba Mashabiki Watume Picha Wakiwa Kwenye Pozi Kama Lake, TAZAMA VITUKO Hapa. ”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter