Friday, October 25, 2013

Picha za maandalizi ya jukwaa la Serengeti Fiesta itakayofanyika kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club


Pichani ni sehemu ya maandalizi ya jukwaa la kisasa kabisa la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar,tamasha hilo ambalo litawajumuisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya zaidi ya 50 wakiwemo na wageni kutoka nchini Nigeria linatarajiwa kufanyika kesho jumamosi ndani ya viwanja vya liders club,ambapo kiiingilio kimepangwa kuwa ni shilingi 10,000 na 15,000 kwa mtu mmoja.

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “Picha za maandalizi ya jukwaa la Serengeti Fiesta itakayofanyika kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter