Wednesday, October 23, 2013

RAFIKI YANGU WA KIKE ANANISHAWISHI NIINGIE KATIKA MAPENZI YA JINSIA MOJA (USAGAJI)..!! USHAURI PLS

  
Mimi ni Msichana wa makamo tu nimeolewa miaka miwili sasa na nina watoto wawili , nafanya kazi kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar es salaam , hivi karibuni nimekuwa na rafikia ambae tuna fanya nae kazi hapa ofisini ambae nimekuwa nikimwelezea matatizo yangu na mme wangu kuwa aniridhishi kitandani....cha ajabu aliniambia kama ninataka kuridhika bora niingie katika usagaji ..cha ajabu aliniweka wazi kabisa kuwa yeye huwa anasagwa na huwa anasikia raha sana kiasi wanaume si deal kwake ..Toka aniambie hivyo kila akija ofisini kwangu ananibusu na kunikumbatia kwa nguvu...Juzi alitaka kunivua chupi nikakataaa kabisa kwani bado hainiingiii akilini kufanya mchezo huo na msichana mwenzangu ....japo kwa upande mwingine natamani kujaribu ....Naombeni ushauri jamani nifanyaje....

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “RAFIKI YANGU WA KIKE ANANISHAWISHI NIINGIE KATIKA MAPENZI YA JINSIA MOJA (USAGAJI)..!! USHAURI PLS”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter