Record nyingine ni hatari sana. Sijui ni lazima kuweka Record au ni kutaka Sifa tu Iliurikodiwe katika Record za Dunia hii. Huyu jamaa aneye jiita Man Hit Aliweka Record Hii kutokana na Kudondoshewa Kitu Mfano wa Tufe Kichwani mwake............
Da ni noma hii. Je Ungekuwa Wewe Ungekubali???
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.