Monday, October 21, 2013

VIDEO:HILI NDIO SAKATA LA MWANAUME ALIYEMLAZIMISHA MKEWE KUMUINGILIA "KINYUME NA MAUMBILE.."



Vitendo vya ukatili wa kijinsia viko vingi na vya aina tofauti tofauti. Kuna wanawake wengine wanafanyiwa vitendo hivi bila kujua kuwa ni kinyume cha sheria na taratibu zilizopo. Sikiliza kisa hiki ambacho sisi tunakiona kama ni sehemu ya ukatili unaofanywa na wanaume wengi kwa wanawake wao. Bi Anna Muhimili wa kitongoji cha Makuru kijiji cha Manchali B, Dodoma ni mmoja wa wanawake waliokutwa na mkasa wa kulazimishwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Fuatilia mkasa huu kwenye video hapa.

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “VIDEO:HILI NDIO SAKATA LA MWANAUME ALIYEMLAZIMISHA MKEWE KUMUINGILIA "KINYUME NA MAUMBILE.."”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter