Monday, November 04, 2013

TAZAMA PICHA HIZI ZA NJEMBA ZILIZOSHIRIKI SHINDANO LA MWANAUME MWENYE SURA MBAYA ZAIDI NCHINI ZIMBABWE...TAZAMA MSHINDI HAPA LAKINI USICHEKE ...!!!



William Masvinhu kwa mara nyingine tena amenyakua taji la Mwenye Sura Mbaya huko Zimbabwe katika shindano lililofanyika siku ya Ijumaa ndani ya ukumbi wa City Sports Bar.

Amepewa taji, hela pamoja na Ofa ya mwanae mmoja kulipiwa ada ya shule kwa

mwaka mmoja, mke wake William naye alikuwepo ukumbuni hapo na alifurahia sana ushindi huo wa mumewe.

Katika kujifaharisha na taji lake, William alisema" Ubaya wa Sura yangu ni wa Asili, ingawa nilijiaanda kidogo kwa shindano hili lakini mengine niliyaacha yajishughulikie yenyewe"



Hao ndio washiriki wote kwa ujumla ambapo William alitoka Kidedea.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “TAZAMA PICHA HIZI ZA NJEMBA ZILIZOSHIRIKI SHINDANO LA MWANAUME MWENYE SURA MBAYA ZAIDI NCHINI ZIMBABWE...TAZAMA MSHINDI HAPA LAKINI USICHEKE ...!!! ”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter