
Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...
Silaha
pekee kubwa anayopaswa kuivaa mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume
anapoangalia Sifa za nani anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza
Sifa Hii...Utashangaa wenzio wote wanawezaje na wewe unashindwa
nini,Jibu ndio hiloMakalio Makubwa bila Confidence ni sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi..

Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.
Only Cheap girls hukazana kuonyesha jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae Kibwengo.
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.