Thursday, November 07, 2013

WANAFUNZI WAWILI WA CHUO ZA CBE DODOMA WAFARIKI PAPO HAPO KWA AJALI YA PIKI PIKI:


Wanafunzi wawili wa chuo cha biashara CBE Dodoma jana(06/11/2013)  majiria ya jioni walipata ajali ya piki piki maeneo 
ya nje kidogo na mji wa Dodoma ambapo walipoteza uhai papo hapo, kwa mujibu wa ripota wetu chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni mwendo mkali wa chombo hicho cha moto piki piki waliokuwa wamepakizana wanafunzi hao na gafla bila kutegemea walilivaa gari kubwa lililokuwa limaegeshwa pembeni ya bara bara na kusababisha mauti wa wanafunzi hao wawili ambaye ni GEORGE LULANDALA  wa ODPS  pamoja na RAMADHANI LESSO wa  ODMK

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “WANAFUNZI WAWILI WA CHUO ZA CBE DODOMA WAFARIKI PAPO HAPO KWA AJALI YA PIKI PIKI: ”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter