Monday, October 28, 2013

BINTI ALIYEISHI BAHARINI KAMA MKE WA JINI NA ALIYEKUWA KATIKA DINI YA FREEMASON KWA MUDA WA MIAKA 14, SASA AOKOKA.

                                     
Aliyekuwa Freemason kwa miaka 14 afunguliwa katika mkutano wa Ufufuo na Uzima unaoendelea Moshi; alikatwa kidole akiwa mdogo kama udhihirisho wa alama yao (devil horns)

alieleza mwenyewe mbele ya waliokuwepo mkutanoni maelfu ya watu wa mkoa wa Kilimanjaro na vitongoji vyake wanaohudhuria mkutano huo katika viwanja vya mashujaa unaoongozwa na mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima lenye makao makuu yake Kawe jijini Dar es salaam.



Binti wa kiislamu ambaye aliwekwa ndani ya bahari kwa miaka mingi; alipokea ukombozi wake mara baada ya maombezi. Kule baharini alikuwa ameolewa na jini ambaye alimweka awe malkia wa baharini kwa miaka mingi... Mungu akamrudisha baada ya maombezi na kumpokea Yesu Kristo.

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

2 comments em “BINTI ALIYEISHI BAHARINI KAMA MKE WA JINI NA ALIYEKUWA KATIKA DINI YA FREEMASON KWA MUDA WA MIAKA 14, SASA AOKOKA. ”

  • October 28, 2013 at 1:50 AM
    Anonymous Disse:

    ammeeen

    delete
  • October 29, 2013 at 11:34 PM
    Anonymous Disse:

    God is Great and his power is more than that of the devil

    delete

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter