Mistari ya kisasa ya kutongoza kwa wale wasio na ujasiri.
Kusaidiana kupo na naamini kabisa wengine kutongoza kunawawia vigumu sana ,kiasi wanakuwa wenye kusindikiza tu ,zipo njia njingi sana ambazo ukizitumia unaweza kufanikiwa ,pengine upo na mdada hapo kazini pako au umemuona sokoni duka ,kwenye sherehe na sehemu zingine au hata hapo nyumba ya jirani.
Moyo wa kuanza nae mazungumzo unaweza kuwa nao na ukafanikiwa kuzungumza,mnaweza kabisa kuwa mnakutana mnazungumza mnacheka na mastori kibao. Je unaweza kuingiana nae vipi katika uhusiano wa kimapenzi ?
Kuna mistari yeyote unaweza kumwaga ambayo itmuingia mlengwa na kuona huu ni mtihani ? Hebu weka michache na huku naitaayarisha miwili mitatu ambayo itaua upweke wako !
Hata wadada wa hapa wanaweza kujibu mapigo ikiwa mistari hiyo ni hatari na inaweza kuhatarisha amani katika moyo !
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.