Monday, October 21, 2013

"MNAOSUBIRI NDOA YANGU MTASUBIRI SANA, BADO NIPO NIPO SANA "......MAYA


MWIGIZAJI wa filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa wale waliozusha kuwa amechumbiwa, watasubiri sana kwani suala la ndoa kwake bado halipo leo wala kesho. 


Mayasa Mrisho ‘Maya’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Maya alisema uvumi ulionenezwa miezi kadhaa iliyopita kuwa amechumbiwa ulikuwa una lengo la kumchafua kwani yeye siku yake ya kuolewa ikifika ataweka hadharani.
Watasubiri sana hao waliozusha suala la mimi kuolewa, sijui hizo taarifa walizitoa wapi. Mimi muda ukifika tu nitawaambia maana wanaonekana wana hamu sana na ndoa yangu,” alisema Maya.

SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.

0 comments em “"MNAOSUBIRI NDOA YANGU MTASUBIRI SANA, BADO NIPO NIPO SANA "......MAYA”

Post a Comment

 

FULL MAUDAKU Copyright © 2011 -- Template created by MAMBOMSETO TEAM -- Powered by MAMBOMSETO TEAM

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter