BAADA mwigizaji Chuchu Hans kukwaa skendo ya kupigania penzi la Vincent Kigosi ‘Ray’ na mwenzake Blandina Chagula ‘Johari’, amedaiwa kutimkia nchini India wikiendi iliyopita kwa lengo la kupunguza stress.
Chanzo
kimoja cha habari kikingea na GPL kimedai kuwa tangu skendo hiyo
iliporipotiwa, Chuchu amekosa amani na amekuwa mtu wa kujificha sana.
“Amekwenda kwa shangazi yake India, amesafiri wikiendi hii kwa ndege
ya Emirates, tena ili kukwepa macho ya watu ameondokea Zanzibar. Ile
skendo imemchanganya sana,” kilisema chanzo hicho.
SHARE HABARI HII KWA RAFIKI ZAKO HAPA CHINI==>>
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU BASI BOFYA "LIKE" HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK.